What is RPL?
RPL (Recognition of Prior Learning) is a process used to identify, assess, and formally recognize skills and knowledge a person has acquired through informal learning, work experience, or life experience, without going through formal education.
Purpose of RPL:
- To recognize skilled individuals trained outside formal education systems.
- To provide official certifications for professional purposes.
- To enhance employment opportunities and support national development.
Available Fields under RPL:
- Masonry and Brick Laying
- Welding and Fabrication
- Motor Vehicle Mechanics
- Tailoring
- Plumbing and Pipe Fitting
- Electronic
- Electrical Installation
- Painting and Decoration
Requirements for Registration:
- Must have not less than 5 years of experience in the relevant field.
- Must be 18 years or older.
- Must be willing to undergo a professional assessment to verify skills.
- Must provide proof of experience, such as work samples, documents, or references.
- Must fill a self-declaration form indicating their competencies.
How to Register:
Currently, registration can be done through the VTA online system or by visiting VTA offices in Zanzibar.
For the year 2025, the online RPL system allows applicants to:
- Create an Account via Sign Up
- Enter your full name.
- Enter your email address.
- Provide your phone number.
- Log in to the system using your credentials via Login
- Your email address
- Your last name in capital letters
- After logging into the RPL system, applicants can:
- Complete their personal profile.
- Upload records of their prior experience.
- Submit applications for assessment.
RPL ni nini?
RPL (Recognition of Prior Learning) ni mchakato wa kutambua, kuhakiki, na kuthibitisha ujuzi na maarifa ambayo mtu ameyapata kupitia mafunzo yasiyo rasmi, uzoefu wa kazi, au maisha ya kila siku, bila kupitia elimu rasmi.
Lengo la RPL:
- Kuwatambua watu wenye ujuzi walioupata nje ya mfumo rasmi wa elimu.
- Kutoa vyeti rasmi kwa madhumuni ya kitaaluma.
- Kuboresha fursa za ajira na kusaidia maendeleo ya taifa.
Fani Zinazopatikana Kwa sasa Kupitia RPL:
- Ufundi Uashi na Uwekaji wa Matofali
- Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma
- Ufundi Magari
- Ushonaji
- Ufundi Bomba na Ufungaji wa Mabomba
- Elektroniki
- Umeme Wa Majumbani Na Viwandani
- Upakaji Rangi Na Upambaji
Vigezo vya Kujisajili:
- Awe na uzoefu usio pungua miaka 5 katika fani husika.
- Awe na umri wa miaka 18 au zaidi.
- Awe tayari kufanyiwa tathmini ya kitaaluma.
- Awe na uthibitisho wa uzoefu kama vile vielelezo, nyaraka au mashahidi.
- Ajaze fomu ya kujieleza kuhusu ujuzi wake.
Jinsi ya Kujiandikisha:
Kwa sasa, usajili unaweza kufanyika kupitia mfumo wa mtandao wa VTA au kwa kutembelea ofisi za VTA Zanzibar.
Jinsi ya kujiunga kupitia mfumo
- Fungua Akaunti Kwa Kujaza Taarifa zifuatazo
- Jaza jina lako na neno la siri.
- Jaza barua pepe yako.
- Jaza nambari yako ya simu.
Jinsi Ya kufungua Akaunti Tafadhali kubonyeza Neno Lifuatalo ( Fungua )
- Baada ya kufungua akaunti ingia kwenye mfumo kwa kujaza taarifa hizi kwa Kubonyeza Neno Ingia
- barua pepe yako
- Jina la mwisho Kwa herufi Kubwa
- Baada ya kuingia kwenye mfumo wa RPL, waombaji wanaweza:
- Kujaza wasifu wao binafsi.
- Kuweka rekodi za uzoefu wao.
- Kuwasilisha Maombi Kwa Ajili Ya Kufanyiwa Tathmini.